Fun-Lugha

Your ever reliable language services provider in Tanzania

Translation challenge #3… (swa-eng)

“Mpenzi mama,

Natumaini wewe ni mzima wa afya, mimi pia ni mzima kabisa.

Dhumuni la barua hii ni kukujulia hali kwa kuwa muda mrefu umepita toka tulipowasiliana. Mbali na kukujulia hali, ningependa kukutaarifu kuwa nitapata likizo mwisho wa mwezi ujao ambaponimepanga kuja kukutembelea. Sina uhakika nitakuja lini kwa hivyo utegemee kuniona siku yoyote ile.

Nakutakia afya njema, hadi tutakapoonana tena.

Mwanao mpendwa,

Imani”

Advertisements

Single Post Navigation

Your Thoughts...

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: