Fun-Lugha

Your ever reliable language services provider in Tanzania

Translation Challenge #5… (swa-eng)

Hivi majuzi nilitembelea duka la kampuni moja maarufu ya simu hapa Dar maeneo ya kwetu, ili nisaidiwe kupata huduma ya mtandao wa intaneti. Wafanyakazi niliowakuta kwa kweli walikuwa ni wavumilivu na wachangamfu sana. Walinipa huduma ya hali ya juu mpaka nikajisikia kweli mimi ni mfalme (kama usemavyo msemo maarufu kuwa “mteja ni mfalme”).Baada ya siku chache nilirudi nisaidiwe mara nyingine tena na kama kawaida yao walinipa huduma nzuri sana. Kaka zangu wawili pamoja na dada, kama wasemavyo watoto wa mjini, nimetokea kuwapenda bure tu! Asanteni sana kwa huduma zenu nzuri na za kuridhisha. Nitarudi tena!

IMG_0034

Advertisements

Single Post Navigation

Your Thoughts...

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: