Fun-Lugha

Your ever reliable language services provider in Tanzania

Archive for the category “Translation Challenge”

Translation Challenge #6… (swa-eng)

Nina furaha sana kusherehekea mwaka mmoja tangu tovuti hii kuanzishwa. Kusema ukweli sikuanza na matarajio makubwa, nilitaka tu kuwaonyesha wanafunzi wangu sampuli za mbinu ninazotumia kufundisha na pia kuwapa watu wasiojua Kiswahili ladha kidogo tu ya lugha hii, yani tunaita kionjo. Mwanzoni watu walikuwa wanakuja tu wanachungulia wanaondoka, bila hata kuniachia mawazo yao. Ila sasa Read more…

Translation Challenge #5… (swa-eng)

Hivi majuzi nilitembelea duka la kampuni moja maarufu ya simu hapa Dar maeneo ya kwetu, ili nisaidiwe kupata huduma ya mtandao wa intaneti. Wafanyakazi niliowakuta kwa kweli walikuwa ni wavumilivu na wachangamfu sana. Walinipa huduma ya hali ya juu mpaka nikajisikia kweli mimi ni mfalme (kama usemavyo msemo maarufu kuwa “mteja ni mfalme”). Read more…

Translation Challenge #4…(eng-swa)

“Last night I had a strange dream. In it, I was being strangled by an unknown person. I tried to scream and ask for help but no sound would come out. As I started losing consciousness , I faintly heard mom’s voice calling me. I tried hard to respond but couldn’t………..then I suddenly woke up!”

you may find these helpful: Read more…

Translation challenge #3… (swa-eng)

“Mpenzi mama,

Natumaini wewe ni mzima wa afya, mimi pia ni mzima kabisa.

Dhumuni la barua hii ni kukujulia hali kwa kuwa muda mrefu umepita toka tulipowasiliana. Mbali na kukujulia hali, ningependa kukutaarifu kuwa nitapata likizo mwisho wa mwezi ujao ambapo Read more…

Translation challenge #2…(swa-eng)

“Jina langu ni Saida, nina umri wa miaka ishirini na mitatu. Ninaishi katika nchi ya Misri jijini Cairo ambapo ndipo nimezaliwa na kukulia. Natokea kwenye familia ya watoto wanne na mimi ndiye kitinda mimba. Nina dada wawili na Read more…

Translation challenge #1…(swa-eng)

“Tanzania ni nchi iliyopo katika upande wa Mashariki ya Bara la Afrika. Nchi hii ilipata uhuru wake mwaka elfu moja mia tisa sitini na moja na rais wake wa kwanza alikuwa ni Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye Read more…

Post Navigation

%d bloggers like this: